IQNA-Afisa mmoja huko Qum ametaja idadi ya Wafanyaziara waliotembelea mji huo mtukufu katika siku zinazoelekea Idi ya Nisf Shaaban kuwa zaidi ya milioni nne.
Habari ID: 3480231 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/17
IQNA – Takriban mawkiba 500 zimetoa huduma mbalimbali kwa mamia ya maelfu ya wafanyaziara ambao waliokuwa wakisherehekea sherehe za Nisf Shaaban katika Msikiti wa Jamkaran huko Qom. (Picha zilipigwa Februari 13, 2025)
Habari ID: 3480220 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/14
IQNA – Kituo cha kujifunza Qur'ani kwa wafanyaziara waliofika Karbala wakati wa sherehe za Nisf-Shaaban kilivutia wengi katika mji huo mtukufu.
Habari ID: 3480215 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/14
Ahul Bayt AS
IQNA – Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania wameanza kusherehekea Idi ya Nisf-Shaaban, kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhiri kwake).
Habari ID: 3478382 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 15 Shaaban Hijiria Qamaria ni kumbukumbu ya kuzaliwa mwokozi wa ulimwengu, Imam Mahdi –Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake- (ATF).
Habari ID: 3472641 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/07